Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Kampasi ya Mwalimu Julius Nyerere Mlimani, kinapenda kuwataarifu wadau wa Chuo na umma  kwa ujumla kuwa kitafanya mahafali ya arobaini na nane (48) mwezi November 2018 katika ukumbi wa Mikutano Mlimani City. Mahafali haya yamegawanyika katika makundi mawili.

Attachment: 20181109_122711_UDSM_MAHAFALI YA AROBAINI NA NANE (48) YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.pdf