Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinapenda kuwaalika wanajumuiya wote wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na umma kwa ujumla kushiriki katika Kongamano maalum lililoandaliwa mahsusi kufanya tafakuri ya kisomi kutathmini miaka mitatu ya utendaji wa Serikali ya Awamu ya Tano na kutoa mapendekezo yenye lengo la kuboresha utendaji wa Serikali katika kuleta maendeleo kwa Wananchi. 

Click the attached document for more Information.

Attachment: 20190116_013530_UDSM_MAIN_EVENT_Kongamano kuhusu hali ya Uchumi na Siasa nchini Tanzania.pdf